Pages

Powered by Blogger.

MAMBO MANNE YA KUMGUNDUA MSALITI KATIKA MAHUSIANO

Anatumia muda mwingi nje ya nyumbani kuliko kuwa na wewe:

Waswahili usema wasiwasi ndo akili,kumsaliti mtu sio kazi rahisi na inahitaji moyo mgumu kufanya hivyo, lakini pale utapoona mwenza wako anatumia muda mwingi mbali na wewe ni shida na hapo ndo inabidi uamshe ubongo.

Anachanganya maelezo:

Mwanaume ambae anakuwa na mahusiano ya zaidi ya mwanamke mmoja anakuwa anakuwa hana maelezo ya kuaminika labda awe na kumbukumbu inayoaminika lasihivyo atachanganya madesa.

Anaanza kukuhisi kuwa wewe sio muaminifu:

Wahenga wasema amjuae mchawi basi anawanga nae, pale unapomuona mwenza wako, anaanza kukuhisi unamsaliti jua kwamba anajihisi na anakusaliti.

Anaficha chanzo chake cha fedha:

 Mwanaume ambae ana mwanamke zaidi ya mmoja anakuwa na matumizi mabaya ya fedha kwasababu ya kununua zawadi na kukodi mahoteli na nk, sasa pale unapoona mume wako anaficha chanzo chake za fedha jua kwamba ana mtu ambae anatumia zaidi yako.

No comments:

Post a Comment

 

Tafuta Blog Hii

Find us on Facebook

Tangaza Nasi Hapa

Umeisha Soma Hizi