Pages

Powered by Blogger.

NAMNA YA KUMUANDAA KIJANA KUWA MUME KWA MAZINGIRA YA SASA?

Kujiamini,

mtoto wa kiume inabidi aandaliwe kujiamini kwa kumwambia maneno ya kumjenga, hapa Faza Maziku anaeleza kuwa maneno kama kuwa shujaa na ngome ya familia, itamfanya mtoto wa kiume kujiamini ili kuwa baba bora katika familia, Apongezwe (Reinforcement),Pale mtoto anapokuwa amefanya jambo ya kupendeza ,mzazi unashauriwa kumpongeza kwa kumuita kwa mapenzi na furaha ili kumfanya atambua kwamba kila kitu anachokifanya kina thamani mbele ya wazazi na jamii inayomzunguka.Faza maziku anasisisitiza kuwa na muda wa kuangalia nini mtoto wao anafanya ili kuweza kumpongeza  kwa kumpongeza mtoto wa kiume kutamfanye awe na kumbukumbuku nzuri kwenye maisha yake ya sasa na badae.

Michezo,

 mtoto kushiriki katika michezo kunamfanya awe na mwili mkakamavu, kuondoa msongo wa mawazo na kupitia michezo kutamfanye kijana wa kiume kuwa na afya nzuri ya kimwili na kiakili. Unapomuonya, Kutokana na utaalamu wa kisaikologia

Usafi, Mtoto wa kiume ili kumtayarisha aje kuwa mume mwema, Mwanasaikolojia anasisisitiza kuwa mtoto wa kiume afundishwe usafi binafsi kama kufua, kutandika kitanda, kupiga pasi na mengine kama hayo, Maziku anasititiza kwamba wazazi wanatakiwa kuwa fundisha kazi za ndani kama kufagia na kupika ili kumjengea tabia ya kujali na hivyo basi akiwa na mke wake atakuwa na sifa ya kuwa baba bora mwenye tabia ya kujali familia.

Mipango ya fedha, ili kumuandaa mtoto wa kiume ili kuwa mume mwema na bora, mzazi unashauriwa kumfundisha ni jinsi gani ya kuweza kutunza fedha ili baadae ajue kuweka akiba, Dini, mtoto wa kiume kupitia dini ya kikristo na kislamu anashauri Padri Maziku,wazazi wanatakiwa kuwa na mafunzo ya kidini ili kumuwezesha mtoto awe na hofu ya mungu ili kuweza kuacha tabia hasi kama ulevi na uzinzi,kutokana na hili mtoto wa kiume atakuwa na tabia ya uaminifu katika ndoa na kuongeza mapenzi kwa mke wake na familia nzima kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment

 

Tafuta Blog Hii

Find us on Facebook

Tangaza Nasi Hapa

Umeisha Soma Hizi